Madini Ya Bongo Flava: Juma Nature

NAMNA YA KUUNUNUA WIMBO #KiJANA Novic BCvm nimeandaa mfumo mahsusi kwako #MyRoyalFan unayeguswa/penda/hudumiwa na muziki wangu #KukuwezeshaNiSupportDirectly Ambapo kuanzia sasa unaweza #KununuaDirectlyFromMe wimbo wangu wowote kwa TZS. 500/- ambayo utaituma katika namba hizi mbili PEKEE 0624 023 116 (HaloPesa) 0717 076 016 (TigoPesa) Jumamosi hii,Tarehe 12 Agosti ni #SikukuuYaVijana duniani kuienzi dhana ya siku hii muhimu Nimeachia track hii mpya inayoitwa #KiJANA nakukaribisha kuinunua sasa. Mfumo huu nimeubatiza jina #SupportUnachoPenda kwa kifupi #SUP Baada ya kutuma #SUP (500) yako tafadhali ni-fowardie msg ya Muamala kama uthibitisho. PIA NAMBA UNAYOITUMIA WHATSAPP(Ili utumiwe hapo wimbo unaounua kwangu) NB: Nakaribisha maoni yako kuhusu mfumo #SUP 1. Nini hujakipenda na (Unashauri nini Kiwe mbadala)?

  1. Bongo Flava Mpya
  2. Bongo Flava New Song

Lava Lava msanii mpya toka WCB ambaye kwenye familia hii anakua ni msanii wa nne baada ya Harmonize,Rayvanny,Rich Mavoko na Queen Darlin. Historia fupi ya Lava Lava ni moja kati ya wasanii waliopitia kwenye nyumba ya vipaji Tanzania (THT),akiwa kama mmoja kati ya watu wa Darasa jipya la nyumba hiyo ya vipaji,kabla ya kusainiwa rasmi LavaLava alikua ni msanii wa back vocal kwenye show za Diamond Platnumz. Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young.

Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: Twitter: Facebook: Instagram: Google Plus: Website: http://harakatibongo.com/. Diamond Jubilee, watu walikula Ugali jukwaani,moja kati ya show chache zilizoweza kuujaza ule ukumbi. Toka pale wasanii wengi wamekuwa wakiukimbia ule ukumbi kwa kuogopa kutumbuiza viti ila Juma Kassim Ally Kiroboto aliweza kufanya maajabu yake kwenye ukumbi ule. Akitoka kugombana na mpenzi wake Sinta wakati ule Juma alirudi akiwa na hasira ya mapenzi.

Jul 24, 2016 Tafadhali SUBSCRIBE kusikiliza nyimbo zote za zamani za bongo flava kwenye hii channel. JUMA NATURE - UTAJIJU YouTube. HESHIMA YA BONGOFLEVA NA JUMA.

Bongo flava new songMadini Ya Bongo Flava: Juma Nature

Huwezi kubisha album ile ilibebwa na nyimbo nyingi za mapenzi zaidi tofauti kabisa na album yake ya kwanza ya Nini Chanzo iliyotoka mwaka 2001 ukiondoa wimbo wa Sonia, sidhani kama kulikuwa na wimbo mwingine wa mapenzi. Hata album yake iliyofuata ya Ubinadamu Kazi ya mwaka 2005 haikuwa na nyimbo za mapenzi kama hii.

  1. Juma Nature or Sir Nature (born in 1980 as Juma Kassim Ally in Dar es Salaam ) is a new generation musician popularly known as Bongo Flava from the country of Tanzania.
  2. This compilation presents the hits by some of the most important Bongo Flava artists. Rappers like Juma Nature and Professor Jay are stars in Tanzania loved for their.

Sitaki Demu,Ahh Wapi, Inaniuma Sana, Ugali,Rudi Nyumbani, Kisa Demu, Umoja wa Tanzania, Hali Ngumu – ni nyundo tupu za kwenye album hii ya kiistoria kwenye Bongo Flava. Beat nzuri zote kutoka kwa P.Funk toka mwaka 2003 mpaka leo hazijawahi kupoteza ubora wake na huwezi kuwa na hofu ukisema hii ni album bora zaidi kutoka kwa “mhuni” huyu wa Temeke na bora zaidi ya album yake ya kwanza, Nini Chanzo, Zote History ya mwaka 2006 na hata Tugawane Umaskini ya mwaka 2009. USISAHAU KUSUBSCRIBE KWA HISTORIA ZA WASANII WAKONGWE, ALBAMU NA NYIMBO ZAO ZILIZOACHA HISTORIA. #ASALIZAKITAMBO - video upload powered by https://www.TunesToTube.com. Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young.

Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: Twitter: Facebook: Instagram: Google Plus: Website: http://harakatibongo.com/. Kumekuwa na mtindo wa kwamba mtu akifanana na staa yeyote anapachikwa jina la huyo staa halafu anaongezewa neno Rapa mbele, Mfano mzuri ni Harmorapa, lulurapa, Jay Z rapa, na sasahivi ni zamu ya Jux Rapa kijana aliyefanana na mwanamuziki wa Rnb Tanzania Juma jux. Jina lake halisi ni Salum Said, jina lake la kisanii ni Golden kwa sababu na yeye ni mwanamuziki pia, Ila watu wengi wamezoea kumuita Jux Rapa kutokana na kufanana kwake copy right na Jux. Jux Rapa ambaye licha ya watu kumfananisha na jux lakini yeye mwenyewe havutiwi kabisa na hali hiyo amesema kuwa, 'Mimi ni shabiki mkubwa tu wa Jux ila sipendi kufananishwa nae, na najua sababu iliyopelekea mimi kuitwa jina hilo ni kutokana na post yangu kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram niliyo post kuelezea hisia nilizonazo kwa Vannesa Mdee.

'Yaani kiukweli nampenda sana Vannesa Mdee na natamani ningekuwa na umri mkubwa awe mpenzi wangu ila ndio hivyo tena umri wangu bado mdogo'. Mwanamuziki HarmoRapa ambae anafanya vizuri na nyimbo yake ya Kiboko ya Mabishoo ambayo amemshirikisha Mkongwe Juma Nature.

Ni kijana asie isha vituko kila kukicha. Leo aliekuwa waziri wa Sanaa, utamaduni na michezo Mhe.

Nape Nnauye alitangaza kuwa na kikao na Waandishi wa habari katika Hotel ya Protea karibu na St. Peter hapa jijini Dar es Salaam. Lakini RPC kanda maalum ya kinondoni avunja mahojiano yaliyokuwa yafanyike kati ya Mh Nape Nnauye na waandishi wa habari. Msanii HarmoRapa ameonekana katika eneo hilo la tukio ambapo tulifanya jitihada za kuzungumza nae lakini alikuwa ameshatoweka eneo la tukio.

Kwanza kabisa ningependa niombe radhi kwa wadau na Mashabiki wote wa muziki kutokana na tatizo fupi liliilojitokeza la mtandao wa wasafi.com kuwa nzito ghafla, na kupelekea ununuzi kuwa slow kutokana na wingi wa wanunuaji. Ila ningependa sanasana niwapongeze na kuwashukuru sana sana wadau, Mashabiki na wapenzi wote wa Muziki kwani Mapokezi tulioyaona hatukuyategemea kabisa.kiukweli wakati tunasema tuanzishe wasafi.com tulikuwa na hofu labda wengine hawatasapoti tena kwakuwa nyimbo inatoka kwa kuchangia 300 kwa kudownload na si bure kama ilivyokuwa zamani.ila kiukweli spidi hii ya ununuzi imedhihirisha ni jinsi gani wananchi wanamapenzi ya dhati na wasanii wao, na wako radhi kuwasapoti kwa hali na mali watoto wao wa nyumbani. Nasi tunawashukuru sana na kuwaahidi hatutowaangusha katika utendaji wetu wa kazi. Kiukweli wengi elimu yetu ni ndogo na mkombozi ama ajira yetu pekee tunayoitegemea ni mziki walau tupe senti mbili tatu za kununua unga na dagaa ili tuweze kula ugali na na wazazi wetu. Tafadhali tunaomba msiache kutusapoti. Tunafaham kuwa kuna baadhi ya mitandao inachkua nyimbo za wasanii toka wasafi.com na kwenda kuzisambaza bure pasipo makubaliano, ila punde tutawashughurikia ikiwemo kufungiwa mitandao yao, na kupelekwa mahakamani kwa kosa la kuhujumu uchumi kwa kuikosesha mapato TRA. Kutokana na watu kuifollow kwa kasi akaunti yetu ya instagram ya @Wasafidotcom imepelekea instagram waisimamishe kwa muda kwani iliwatia mashaka idadi ya watu waliyoifata kwa mda mfupi.

Baada ya masaa mawili mtandao wa www.wasafi.com utakuwa tayari kwa kila mmoja kununua nyimbo ya msanii ampendae na akaunti yetu ya insta punde itakuwa tayari.Shukran 🙏.

Bongo Flava Mpya

This compilation presents the hits by some of the most important Bongo Flava artists. Rappers like Juma Nature and Professor Jay are stars in Tanzania loved for their amusing way of tackling social problems and the fashion they sport. Gangwe Mobb from poor Dar es Salaam quarter Temeke is known for creating at least one new slang word in each of their comic like cartoon rap songs. Their neighbours, LWP Majitu, are popular for their hard hitting hardcore lyrics. Ebbo, a Maasai rapper, has become the most popular urban embassador of the Maasai giving them a hymn with his song „Mi Mmasai“ („I’m a Mmasai“).

Bongo Flava New Song

Another Maasai hiphop group, X-Plastaz from Arusha, is the only Tanzanian rap crew known in Europe so far. They released an album at outhere records in august. Afande Sele’s song „Mtazamo“ was chosen to be the best Tanzanian rap song. In summer he was elected “mfalme wa rhymes” (king of rhymes) and won a brand new Toyota. Wagosi wa Kaya who include local instruments, as Daz Nundaz do, are famous for their party on stage. Is the most popular among the very few female rappers, featured here with her hit „Anakuja“. GK influenced by early Tanzanian crew Kwanza Unit does old school rap.

His friend Mwanafalsafa (Kiswahili for „philosopher“) is featured here with an educational song about Aids. Newcomer K-Sal went straight to the top of the charts with the very first song; something many dream of doing these days in Bongo.